Naomba kueleweshwa kuhusu hii hali unamhudumia mgonjwa mwenye UKIMWI

Antennah

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Posts
6,754
Reaction score
8,750
Kwa wale wataalam wa afya mfano wauguzi, madaktari na ma lab technician wanaokutana na mazingira mengi ya kushika damu za wagonjwa.

Ajali kazini hutokea mfano daktari anamfanyia OP mgonjwa ambaye ni HIV positive sasa bahati mbaya drop ya damu ikamrukia ndan ya jicho.

Swali HIV wanaweza penetrate through eyes njia hii ina aailimia ngapi za kumpa maambukizi victim!??

Nawaailisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…