Naomba nieleweshwe kuhusu IPTL,nakumbuka mkatataba na serikali ulikuwa wa 20 years,na umeshakwisha,serikali imegomA kuhonor renewal application,je IPTL wana issue yeyote na serikali maana naona kama wanahisi hawajatendewa haki.more details please
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app