Naomba mwenye uelewa na uzoefu wa magari haya, Mitsubishi outlender na Suzuki escudo, hasa kwenye utumiaji wake wa mafuta na upatikanaji wa spare parts bila kusahau uimara wake.
Humu ndani kuna ma- uzi mengi yanayozungumzia hizo ndinga ila wewe ni mvivu!! Anza na huu una habari kuhusu Mitsubishi Outlander Mitsubishi outlander ina burudani gani?