Naomba kueleweshwa kuhusu soko la hisa DSM (DSE)

acleyfrancis

Member
Joined
Jan 31, 2017
Posts
33
Reaction score
44
Habari mabibi na mabwana, kwa yeyote mwenye kuwa na uelewa mpana juu ya soko la hisa la Dar es Saalam naomba ashee na mm hapa kwaniaba ya wengi wanaohitaji kujua.

Ningependa kujua yafuatayo
1. Liquidity yake kulingana na stocks zao,
2. Broker yupi mzuri kwasababu nimeona kuna broker wengi sana.
3. Stocks zipi ambazo growth yake ni nzuri.

Nitashukuru na ntakua hapa kusoma comments
 
Habari mabibi na mabwana, kwa yeyote mwenye kuwa na uelewa mpana juu ya soko la hisa la dar es saalam naomba ashee na mm hapa kwaniaba ya wengi wanaohitaji kujua...
Kuna Uzi ulishaelezea kuhusu Dar Es Salaam stock exchange, itafute kuna kila kitu kule.

Sema ungeinvest NVIDIA , saahizi ungekuwa unakula unono. Anyway.
 
Kuna Uzi ulishaelezea kuhusu Dar Es Salaam stock exchange, itafute kuna kila kitu kule.

Sema ungeinvest NVIDIA , saahizi ungekuwa unakula unono. Anyway.
ukinipeleka kwene huo uzi utanisaidia sana kaka, lakin pia naomba shule niijue hii NVIDIA
 
Kwa kuhusu broker anayeaminika sana ni Solomon Stock brokers ambao wameingia ubia (partnership ) na CRDB kwamba ukitaka kununua Hisa unanunua kupitia CRDB wako vzuri [emoji817]

Kwa stocks znazoperform vzur kwa week ending ya 25/08 kuna
NMB
TICL
NICO
Hizi taarifa unapata katika DSE website nenda google utaona mahali pameandikwa market report then unaona details zote

Kuhusu liquid hapo ni ww sasa kufanya analysis kuna mda zinapanda na kushuka ghafla mfano CRDB ilipanda mpaka 520 alaf ikasimama na kuanza kushuka tena mpk saahv ipo 460 so ni ww kuanalyze vzur kwa kuijua Kampuni pia maana hapo n kama unanunua biashara
Kuna baadhi hazijawah panda wala kushuka mfano kina precision air wako pale pale miaka yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…