Kama hujaeleweka hivi!, Cheti kinatolewa RITA, then unataka hao RITA ndo waverify, sijui hii imekaaje.
Ninachoelewa ni kwamba Copy ( ya cheti cha kuzaliwa au chochote) ndo inatkiwa kuverify na mawakili au mahakama.
Sasa wewe sijui unataka nini, au labda mm sielewagi haya mambo
Documents wanaverify watu wa sheria nenda mahakama iliyo karibu nawe au halmashauri.
Km unawataka rita hawa hapa, www.rita.go.tz au piga simu bure 0800-117-482 ukifanikiwa uje kushukuru.