Naomba kueleweshwa!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakubwa shikamoon, wadogo habari zenu!! Naomba kueleweshwa ni umri gan ambao msichana hufika na ku2lia na kuacha kuruka ruka{ku2lia na mpz mmoja}?
 
Senetor bado unaruka ruka na vitoto vya secondary nini
 
Hakuna umri maalumu kwenye hilo. Mimi nishashuhudia mimama mizima iliyoolewa inachiti. Kila mara haikosi kwenda kwenye mabaa. Inakunywa, inalewa halafu inaanza kufanya mambo ya ajabu.
 
Nafikiri NN amekujibu vyema
hakuna mu9da maalum ni yeye aamue sasa basi haya mambo yananitosha na atulie maana ukisema umri gani basi waliiolewa na wenye ndoa zao wasingefanya haya na wale wenye umri mkubwa
 
Baada ya Monopause period..
 
kinyume cha swali Pili ulipata jibu ndo wafikiri wakina dada au mama
 
Kutulia ni mtu kuamua mwenyewe tu kwani umri si chochote
 
Kutulia ni mtu kuamua mwenyewe tu kwani umri si chochote
<br />
<br />
mbona wanafunzi wanapokua vyuon hasa dada ze2,weng huwa ni fuly kuruka ruka bt soon wakigraduate wanakua wa2livu ka sio wao?
 
nafikiri kutulia ni tabia ya mtu binafsi, japo navosikia ukioa msichana mdogo sana uwezekano wa kucheat ni mkubwa sana sababu kuna life aliiruka na kuwahi kuolewa au kuishi na bwana
 
Hapa sina cha kuchangia hapo.
 
Akishajitambua ataacha hata akiwa na miaka 12 au ataendelea hata akiwa na miaka 60.
 
Mwanamke anatulia pale unapomfikisha kileleni na pochi likiwa lina afya nzuri basi kunoga tu dunia nzima utaiyona ya kwako, na hata pesa za kwenda outing peke yake au na marafiki zake utampa bila kuwa na wivu kwamba watu watamtolea mimacho, wewe unapoa zako home unaperuzi JF TU huku unanowa mpini kumsubilia.
Mimi pressure hizo zilikwisha miaka mingi nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…