Naomba kueleweshwa!!

Naomba kueleweshwa!!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau,ivi mdada akimwita man player boy huwa anamaanisha nin?
 
player boy sifahamu .... play boy.. Maana yake ni yule mtu womaniser/skirt chaser/ mzinzi wa kiume/gongerer...... Na mifano ya aina hiyo mzee.
 
pole sana kakushtukia kuwa una vidosho, ila madem huwa wanawapenda ma play boy coz game wanalimudu.
 
Playboy ni mtu wa videm.Mara nyingi hawapendi kuoa,wanaogopa uhuru utawaishia,maisha yao mara nyingi yanakuwa ya ovyo sana,na huishia pabaya.
 
pole sana kakushtukia kuwa una vidosho, ila madem huwa wanawapenda ma play boy coz game wanalimudu.

nimeuliza tu na sio kwamba na mim yamenikuta mdau!
 
kwenye kuitwa play boy. Kuna namba za uchezaji pia.
Ila usije ukakubali kuwa goal keeper playboy.
 
player boy sifahamu .... play boy.. Maana yake ni yule mtu womaniser/skirt chaser/ mzinzi wa kiume/gongerer...... Na mifano ya aina hiyo mzee.

skirt chaser like you! :tongue:
avatar38040_2.gif
 
Back
Top Bottom