Habari za jioni Wakuu?
Leo nimependa kujua biashara ya uuzaji wa kemikali kwa wale wote wanahohusika na hii biashara
Naomba mnipe hints kuhusu biashara hii katika kila kitu kuanzia mtaji uendeshaji usimamizi na masoko yake.
NB: kemikali kwa ujumla
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji