Naomba kuelezwa kwa undani kuhusu government bond kutoka BOT

GeofK

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
965
Reaction score
1,217
Naomba kuelezwa kwa undani kuhusu government bond kutoka BOT

 
hivi hua ni uvivu wa kutafuta, wa kusoma au ni hulka tu kutaka kuuliza uliza na majibu yanatikana hata kwa kusearch hapa hapa jamii fôrum.
Haya unataka kujua bond za BOT kuhusu nini hasa?ili usaidiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…