Sometimes watu tunashindwa kushauri maana unaeleza kitu juu juu. Ulitakiwa ueleze Must na Mzumbe umepangwa course gani second round na Ifm third round umepanga uombe course gani ndo ingekuwa rahisi kushaurika. Isije ikawa unaacha course nzr sababu ya ushawishi wa watu halafu ukaenda nyingine huko Ifm ambayo ni bora ungeenda Mzumbe au MustWakuu habarini za saiz..
Ningependa kujua kwamba, iv kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo. Je ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu?? Let say umeaply IFM, third round.???
Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
Zingatia hayo maneno...!funguka usaidiwe haina tija ukiongea kwa mifano wakati upo uhalisia wake..!Sometimes watu tunashindwa kushauri maana unaeleza kitu juu juu. Ulitakiwa ueleze Must na Mzumbe umepangwa course gani second round na Ifm third round umepanga uombe course gani ndo ingekuwa rahisi kushaurika. Isije ikawa unaacha course nzr sababu ya ushawishi wa watu halafu ukaenda nyingine huko Ifm ambayo ni bora ungeenda Mzumbe au Must
Haitokaa itokee yan huchaguliwe kozi ambayo hukuichagua ,wew kubali uliichagua sema sio priority yakoWakuu habarini za saizi
Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo.
Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu? Let say umeaply IFM, third round?
Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
Kozi hujazipenda ulizichagua ili iweje!?Wakuu habarini za saizi
Ningependa kujua kwamba, hivi kwa mfano umechaguliwa vyou viwili let say (MZUMBE NA MUSTI) in the second round, na itokee umechaguliwa kozi ambazo huzipendi.. later on ubadilishe mawazo against hivyo vyuo.
Je, ukiaply chuo kingine unaweza kuchaguliwa round ya tatu? Let say umeaply IFM, third round?
Msaada pliz!!! Nataka niaply tena maana nimechaguliwa vyuo viwili ila kozi sijazipenda..
nankwel mana hiv vitoto vya sasa mtihan.mim mdg wang kakataa kusoma medical lab kaenda kusoma wildlifeSometimes watu tunashindwa kushauri maana unaeleza kitu juu juu. Ulitakiwa ueleze Must na Mzumbe umepangwa course gani second round na Ifm third round umepanga uombe course gani ndo ingekuwa rahisi kushaurika. Isije ikawa unaacha course nzr sababu ya ushawishi wa watu halafu ukaenda nyingine huko Ifm ambayo ni bora ungeenda Mzumbe au Must
Hlf atamaliza chuo arudi nyumbani ukamsaidie kutafuta kazi.nankwel mana hiv vitoto vya sasa mtihan.mim mdg wang kakataa kusoma medical lab kaenda kusoma wildlife
kwahiyo unatufokea sioYaani post yangu hii imesomwa na watu 12, mmoja ndo ametoa msaada, mnaamaanisha wakuuu???
Atakuwa kazaliwa 2002kwahiyo unatufokea sio
yawezekanaAtakuwa kazaliwa 2002