MKAKA HALISI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 631 Reaction score 1,263 Feb 27, 2019 #1 Habari wana janvi nimesikia kuna machine inayo weza kurahisisha upandaji wa mazao kama mahindi, karanga nk je kuna mwenye taarifa sahihi juu ya hili na wapi zinapatikana bila kusahau na bei pia ? Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana janvi nimesikia kuna machine inayo weza kurahisisha upandaji wa mazao kama mahindi, karanga nk je kuna mwenye taarifa sahihi juu ya hili na wapi zinapatikana bila kusahau na bei pia ? Sent using Jamii Forums mobile app
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,081 Feb 28, 2019 #3 Nenda Farm Base karibu na club ya wazee Ilala, au mbele ya hospitali ya Amana wanazo. Tel :+255 22 2861857 +255 754 200300.
Nenda Farm Base karibu na club ya wazee Ilala, au mbele ya hospitali ya Amana wanazo. Tel :+255 22 2861857 +255 754 200300.
MKAKA HALISI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 631 Reaction score 1,263 Mar 1, 2019 Thread starter #4 Ubarikiwe Sana mkuu Nashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
Herbert Nkuluzi JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 2,592 Reaction score 2,629 Mar 1, 2019 #5 Tshs ngapi ndugu?