Naomba kuelimishwa, hivi ni kwa namna zipi serikali inawanyanyasa waislamu

Naomba kuelimishwa, hivi ni kwa namna zipi serikali inawanyanyasa waislamu

Status
Not open for further replies.

kimanu

Senior Member
Joined
May 31, 2013
Posts
196
Reaction score
64
Naomba kuelimishwa, hivi ni
kwa namna zipi serikali ina
wanyanyasa waislamu.
Cuz sielewi. mi naoma Serikali anatunyanyasa wote "equally"....cuz kama mafisadi wanaiba hela zetu wooote, mikataba mibovu inatuathiri wote, tindikali tunamwagiwa wote na watalii pia, risasi na mabomu ni kwa cdm na wengine wote( ccm tu ndo hili haiwahusu lol)..

Naomba kujua zaidi
 
Sijakuelewa aise.
Maana ata bandiko lako umeliweka kusiko.
Hii kitu ulitakiwa kuitupia kwenye siasa mkuu.Hapa ni biashara na ujasiriamali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom