Naomba kuelimishwa jambo hili kuhusu waalimu wapya

Naomba kuelimishwa jambo hili kuhusu waalimu wapya

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
773
Nijuavyo mimi mwajiriwa mpya unapoanza kazi unapewa subsistence allowance kulingana na marital status. Kama umeoa au kuolewa na una watoto unapewa ya kwako na ya mwenzi wako. Nasema hivi kutokana na sheria ya ajira na pia uzoefu.

Sasa hizo subsistence allowance ya siku saba inaaply vipi kwa walio na familia? Maana naona walimu wamepewa kati ya 100,000/- na 170,000/- (ya siku tatu au nne tu). Huu ni udhalilishaji.

Karibuni kwa hoja na siyo vijembe
 
Wahuni wamejaa halmashauri,hawafanyi kazi ni kujambajamba tu
 
tanzania imeoza hakuna anayejali mambo yanaenada hobela hobela
 
We familia umeipata wapi, wakati unatoka shule. Uzoefu kuna walimu wengine wanaenda tu kuchungulia vituo wasiporidhika wanakimbia.Halmashauri nyingi zimeshtuka, wanalipaga nusu kwanza
 
Back
Top Bottom