Nijuavyo mimi mwajiriwa mpya unapoanza kazi unapewa subsistence allowance kulingana na marital status. Kama umeoa au kuolewa na una watoto unapewa ya kwako na ya mwenzi wako. Nasema hivi kutokana na sheria ya ajira na pia uzoefu.
Sasa hizo subsistence allowance ya siku saba inaaply vipi kwa walio na familia? Maana naona walimu wamepewa kati ya 100,000/- na 170,000/- (ya siku tatu au nne tu). Huu ni udhalilishaji.
Karibuni kwa hoja na siyo vijembe