makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Habari zenu wakuu,
Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3.
Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani nimetenga eneo la hekari kama 2 hivi, nishafanikiwa kuchimba na kisima, naendelea kukifukua nipate maji ya kutosha zaidi.
Wajuzi mnisaidie jinsi ya kuandaa mazao tofauti tofauti na mboga mboga, vitu gani vinauzika zaidi!
Walimaji wa nyanya na mazao tofauti mnaweza mkanishauri pia aina ya mbegu bora zenye kuleta mazao mengi na kuhimili magonjwa na iliyokuwa inapendwa sokoni.
Shamba lipo Mkuranga, aliyekaribu na maeneo hayo naweza kuja shambani kwako nikajifunza mawili matatu, aliye karibu na shambani kwangu anaweza akatokea pia akihitaji.