Naomba kuelimishwa jukwaa la katiba la kata kazi yake ni nini?

Naomba kuelimishwa jukwaa la katiba la kata kazi yake ni nini?

mchaichai

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
648
Reaction score
77
Najipanga kwenda kujiunga na jukwaa la katiba katika kata yangu lakini sijajua vizuri kabla ya majadiliano itakuwaje.

-Je tutapewa hiyo rasimu kwanza tusome au nini kukusanya mawazo mapya kama ilivyokuwa awali?

-Je kutakuwa kupiga kura za kupitisha maoni au ni kujadili tu?

-Je kama wakiingia watu wa kisiasa tupu itakuwa katika ya kuleta maendeleo kweli?

Naomba mnisaidie jamani mnaojua kidogo swala hili.
 
Najipanga kwenda kujiunga na jukwaa la katika la katani kwangu..lakini sijajua vizuri kabla ya majadiliano itakuwaje. je tutapewa hiyo rasimu kwanza tusome au nini kukusanya mawazo mapya kama ilivyokuwa awali? je kutakuwa kupiga kura za kupitisha maoni au ni kujadili tu...je kama wakiingia watu wa kisiasa tupu itakuwa katika ya kuleta maendeleo kweli naomba mnisaidie jamani mnaojua kidogo swala hili
Mimi nimeshapeleka maombi yangu tayari, nimeambiwa kuhusu uteuzi tu vyenye utakuwa, ya kuwa wanainji ndio watachagua watu kwenye mkutano mkubwa wa mtaa.
 
Je una maana ya mabaraza ya katiba au jukwaa la katiba?

Jukwaa la katiba muulize Deus Kibamba, na sijui kama wao wako katika kata.

Unapoleta uzi jitahidi kuwa precise na unachotaka, vinginevyo utapata majibu wakati mwingine usiyohitaji

Thnx
 
Back
Top Bottom