Mimi nimeshapeleka maombi yangu tayari, nimeambiwa kuhusu uteuzi tu vyenye utakuwa, ya kuwa wanainji ndio watachagua watu kwenye mkutano mkubwa wa mtaa.Najipanga kwenda kujiunga na jukwaa la katika la katani kwangu..lakini sijajua vizuri kabla ya majadiliano itakuwaje. je tutapewa hiyo rasimu kwanza tusome au nini kukusanya mawazo mapya kama ilivyokuwa awali? je kutakuwa kupiga kura za kupitisha maoni au ni kujadili tu...je kama wakiingia watu wa kisiasa tupu itakuwa katika ya kuleta maendeleo kweli naomba mnisaidie jamani mnaojua kidogo swala hili
natafuta soft copy ntairusha humu
Kila la heri kaka, ukishaiweka usisahau kuni-tag kwenye hii mada.