NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
Mimi najiandaa kufanya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2016 kama mtahiniwa wa kujitegemea, endapo ratiba ya mtihani haitaathiri masomo nitakayo soma,
(1) je! kuna ulazima wa mimi kusoma masomo ambayo yako katika mpangilio wa tahasusi? (2) ningependa kujua pia,,masomo ya dini yana nafasi gani au yanachangia nini katika matokeo? Naomba ufafanuzi ili niweze kufanya maamuzi sahihi