NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,201
hakuna ulazma wa tahasusi znazofanana, unaweza pga hata. . Math,chem ,histor,phy,etc. .
Help please!
Masomo ya dini hayahesabiwi kuanzia matokeo ya mwaka 2014.
huyo mke alikosea sana inaonekana hajiamini au ana wivu sana . Dada mtu hakukosea huyo alikuwa wifi yake enzi hizo ila u-wifi huwa haufi bwana kwa sababu huyo dada+wifiye hawakuwahi kukosana sasa yeye hayamhusu hata kama hawakuoana ila ni wifi yake kwanza amezaa na kaka yake. Dada mtu hakukosea huyo ni wifi yake tu na atabaki kuwa hivyo wala dada mtu hajipendekezi kumuita wifi ndio anavyotakiwa kuitwa amezaa na kaka yake, heshima apewe.
ebsema we unapga sayanc au art tukushaur. .
hapo itabidi uwe makini sana na timetable katika hayo masomo unayotaka kuchukua.maana kama utachukua masomo ambayo hayatengenezi comb yoyote kati ya zilizopo unaweza kujikuta unatakiwa kufanya vipindi viwili katika muda mmoja,ambacho ni kitu kisicho wezekana.ila unaweza kusoma masomo ambayo hayatengenezi comb yoyote kilichopo yacwe yanafanyika kwa muda mmoja katika acsee 2016 timetable.