Naomba kuelimishwa juu ya madhara ya hizi Sabuni

dibwe

Senior Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
108
Reaction score
81
Kuna hizi sabuni wanaita za asilia kwa ajili ya kusafisha uke. Sabuni kama Kaisiki & Ivan na nyingine za kampuni kama ya gnld. Je zinaweza sababisha madhara yeyote kwa mtumiaji? Naomba kuelimishwa Plz
 
Safisha uke kwa maji safi tu, achana na sabuni na excessive maosho ya ndani ya uke.

Hizo sabuni sizifahamu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…