dongbei
Senior Member
- Jan 18, 2013
- 158
- 147
Salaam wana-JF
Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi.
Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya nchi. Nimedhania labda ni Stipend na Travel allowances? of which nikilinganisha na pesa niliyopewa wakati huo haviendani. Sikuchukua kabisa travel allowances wakati huo. Ila nilichukua stipend, ambayo nayo haviendani na amount iliyopoa hapo.
Pia, kama ulipewa mkopo in terms of dollars, deni linakuwa-calculated kwa change ya wakati unapewa mkopo au change ya wakati huu?.
Mwenye ufahamu tadhari tusaidiane kabla sijaanza kuwalipa.
Asante.