jacquejaytee
Member
- Jan 20, 2014
- 46
- 27
Habarini za wakati huu.
Mwenye uelewa wa kwanini wafanyabiashara wengi wakienda kununua bidhaa maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO, naomba anielezee kwa Kiswahili chepesi ili nielewe nini maana yake na nini faida zake na pengine ata hasara zake.
Shukrani!
NB: Naomba maelekezo yawe in layman’s language yaan yaelezewe ktk lugha nyepesi yenye kueleweka ata na mtu aliesoma mpaka darasa la 7.