jacquejaytee
Member
- Jan 20, 2014
- 46
- 27
maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO
Ni njia ya kukwepa kodi kubwa kwa mfanya biashara. Hakuna Faida nyingineNb :naomba maelekezo yawe in layman’s language yaan
- Mlipa kodi hutambuliwa kwa TIN number.
- Iwapo mimi au wewe, ni wafanyabiashara, Tukitumia TIN namba zetu, itaonyesha kuwa biashara inafanyika na linapokuja swala la kodi, ni kulingana na jinsi ulivyofanya mauzo/ biashara...
Okay, asante kwa mchango wakoKuilezea inahitajika utaalamu kweli lakini Nia halisi ni kutambulika ni mlipa Kodi.Wazee wa VAT wanakuja na habari kamili
ni kama wewe na tumbo lako+ jiko, siku gesi imekuishia usipotafuta mbadala tumbo litakudai tu msosi no mata waaaaFundi Simu analipia leseni na mapato anakadiliwa ila TANESCO WANAKATA UMEME SIKU MAALUMU (GULIO)siku YA FUNDI KUPATA PESA... na bado serikali inasubiri kodi ya fundi.
V.A.T inapigwa hesabu hivi (input v.a.t - Out put V.a.t) yaani Input V.a.t inatokana na Mauzo(sales), oUTPUT V.A.T INATOKANA na manunuzi(purchase) kwa hiyo akinunua akidai rirsti ya tin namba yake anajua kaongeza output v.a.t means atalipa kidog V.A.T kwa wale jamaaHabarini za wakati huu.
Mwenye uelewa wa kwanini wafanyabiashara wengi wakienda kununua bidhaa maduka ya jumla wanapenda kwenye zile risiti za manunuzi zitumike TIN NUMBER ZAO, naomba anielezee kwa Kiswahili chepesi ili nielewe nini maana yake na nini faida zake na pengine ata hasara zake.
Shukrani!
NB: Naomba maelekezo yawe in layman’s language yaan yaelezewe ktk lugha nyepesi yenye kueleweka ata na mtu aliesoma mpaka darasa la 7.