Naomba Kuelimishwa Juu ya Submeters zinazokata umeme

Naomba Kuelimishwa Juu ya Submeters zinazokata umeme

sokoMchizi

Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
50
Reaction score
210
Habari Wanajamvi,

Ninaomba Kuelimishwa Juu Ya Submeters Zile Zinazokuwezesha Kutumia Umeme Wako Tu Mwenyewe ukitenganisha na Wale mnaoshare Meter Moja.

Je Unit Siku Zikiisha Main Meter Hawataendelea kutafuna Unit Zako Ambazo Zilihamishiwa kwenye Submeter Yako? Naomba Kuelimishwa kwa Mwenye Ufahamu.
 
Habari Wanajamvi, Ninaomba Kuelimishwa Juu Ya Submeters Zile Zinazokuwezesha Kutumia Umeme Wako Tu Mwenyewe ukitenganisha na Wale mnaoshare Meter Moja.

Na je Umeme Ukiisha Wa main Meter Ukiisha Je ,Hawataweza Kuendelea kutumia Unit zako Ambazo Umezihamishia kwenye Submeter Yako endapo Unit Zako Zitakuwa hazijaisha.?
 
Habari Wanajamvi,

Ninaomba Kuelimishwa Juu Ya Submeters Zile Zinazokuwezesha Kutumia Umeme Wako Tu Mwenyewe ukitenganisha na Wale mnaoshare Meter Moja.

Je Unit Siku Zikiisha Main Meter Hawataendelea kutafuna Unit Zako Ambazo Zilihamishiwa kwenye Submeter Yako? Naomba Kuelimishwa kwa Mwenye Ufahamu.
Kwanzá Submeter Umeme huwa unaanza Kuingizwa kwenye Mita kuu ya Tanesco(Tanzania) Na Zeco (Zanzibar) ndio unaingiza kwenye Submeter yako.

Pili Kwa mwenye kutaka kufunga kwenye chumba kimoja tu anatakiwa kufunga Submeter Mbili. Kwanini Mbili? Mbili kwa sababu ukifunga moja tu haitakusaidia kwa kuwa wale Ambao hawajafunga watakumalizia umeme. Hivyo ni lazima wote wawepo kwenye mfumo. Kwa hiyo moja inafungwa kwako na nyingine inafungwa kwa Ajili yao ili na wao waingie kwenye mfumo. Bei Submeter moja 150,000. Ukichukua nyingi Bei inapungua kidogo. 0757838927
 
Back
Top Bottom