sokoMchizi
Member
- Oct 15, 2022
- 50
- 210
WAPIWANAUZA MKUUHicho kidude kinauzwa 120k wakati kuunganisha umeme kwako ni 27k REA bado ipo haijafutwa
CHEKI NA HUYU MWAMBA COMRADE, ANAUZA KWELI KAZI YAKE NI DALALIWAPIWANAUZA MKUU
Kwanzá Submeter Umeme huwa unaanza Kuingizwa kwenye Mita kuu ya Tanesco(Tanzania) Na Zeco (Zanzibar) ndio unaingiza kwenye Submeter yako.Habari Wanajamvi,
Ninaomba Kuelimishwa Juu Ya Submeters Zile Zinazokuwezesha Kutumia Umeme Wako Tu Mwenyewe ukitenganisha na Wale mnaoshare Meter Moja.
Je Unit Siku Zikiisha Main Meter Hawataendelea kutafuna Unit Zako Ambazo Zilihamishiwa kwenye Submeter Yako? Naomba Kuelimishwa kwa Mwenye Ufahamu.