Ni lazima umwandalie chai mme wako kabla hajaondoka, ukizingatia labda usiku mlikuwa na show kali. Au pengine mmepashana moto hiyo alfajiri. Kuitunza afya ya mumeo ni jukumu lako na usipofanya hivo basi unamdhoofisha kiafya. Na mwisho wake utaanza kutafuta serengeti boy ambao either wanajipikia wenyewe iyo chai au wanapikiwa na mama zao. Mambo kama haya wazee wetu wa zamani waliyajua sana na wasichana walifundishwa katika unyago. Lakini miaka hii usasa umeharibu mambo mengi. Kongole kwa wazee wetu walikuwa na mifumo imara sana kimaisha.