Shukrani sana Mr. Careem, nimekuelewa vizuri kabisa.. Kumbe wanawake wa sasa hatuna hatia, ni mbio mbio za maisha hizi maskiini..!!Nimependa hapa jinsi ulivyomalizia. Ok kukujibu tu ni kwamba mfumo wenyewe wa maisha unasupport kuwa hivyo kwa vile hakuna mwanaume anaependa kutoka nyumbani bila kuandaliwa kifungua kinywa na mkewe ampendae. Wengi wetu ni waajiriwa na hutakiwa tufike vibaruani mapema hivyo tukisema tusubirie kuandaliwa kifungua kinywa tunaweza kuchelewa kazini pia ukizingatia kama usafiri mtu anaotumia ni wa public. Waajiri (Mabosi) pekee zao ndio wanaosubiri kuandaliwa vifungua vinywa na wake zao tena usikute hata mabosi wengine pia wanahisi watachelewa vibaruani mwao hivyo hujikuta wakipata vifungua kinywa maofisini mwao.
Nawasilisha....
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Waaaoooh'..!!Maisha yamebadilika wanawake wanataka haki sawa ila kiuhalisia labda kama naenda kazini saa1 au SAA 2 asubuhi ila Mimi nadamka saa10 au 11 nimuamshe mke wangu au mpenzi anichemshie chai itakuwa kuumizana wakati gesi kuchemsha chai dk5
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu,Kila nyumba, mtu au familia ina utaratibu wake.
Binafsi siyo mtu wa chai au tuseme mimi siyo 'Mlaji' sana.
Kwahiyo sina ratiba hiyo kwamba asubuhi ni lazima nipate break fast.
Nikiwa na njaa wakati wowote ule nakula tu nitakachojisikia kula wakati huo au kilichopo.
Hiyo shughuli nyingine nikiona inanishinda nitafanya mpango wa 'alqasus' hivi haifanyi kazi na kwetu?? 😅 😅Hahaha wee unaangalia wepesi wa kutokupika. Ujue kunashughuli ya kugegedana mana ni dozi kwatwa mara tatu hahaha.
Alafu mie sina mpango wa familia. Wee njo nikuwowe tuenjoy life tukashangae dunia. Shida ya kulea mie sitaki kabisa
that's nice..!Mimi kwakweli lazima ninywe chai ya asubuhi na naithamini kuliko mlo wowote ule. Na mke wangu analinus hilo. Ingawa wengine husema hawawezi kunywa chai kabla ya saa 3 mi kwangu nimezoeshwa na mama mzazi kunywa chai pindi ninapoamka. Na ni ngumu kuendelea na kazi yoyote bila kifungua kinywa. Haijalishi ni saa ngapi, hata saa 11 asubuhi nakunywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Absolutely dear Lenie..!Jibu langu ni kama lako ulilowajibu hao kina mama, kila nyumba ina utaratibu wake nyumba zingine hawajazoea kupika asbh asbh.
Lakini pia kuna watu hawawezi kula asbh sana, labda kuanzia mida ya sa 2 au 3 na mda huo mtu anakua ofisin so obvious hawezi kunywa chai home.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu..!!Mimi kabla nimwoe biti huyu nilikuwa najitengenezea mwenyewe kwahiyo hata sasa nafanya hivo pale tu napokuwa na haraka haijarishi bado kambonji au anakazi gani nikimwona haelekei kuniwahishia bila kupoteza muda zaid naingia mitamboni tena sio kwa ubaya,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo shughuli nyingine nikiona inanishinda nitafanya mpango wa 'alqasus' hivi haifanyi kazi na kwetu?? 😅 😅
Vizuri sana mkuu.!Tunapambana nahali zetu.... Kwaupande wangu sio inshu nawala sijawahi kuwaza kunywa Chai nyumbani kama ninaratiba yakwenda job. Vilevile nitachelewa job.
Imagen natoka job saa3 usiku ndio nafika home, nioge, Nile chakula nimle nampishi mpaka kulala nisaa7. So uwezo wakuamka sa10 mimi namwenzangu nimdogo sana kwahiyo hapo tunaamka Saa12 tunajiandaa fasta fasta tunasepa tena kwakuchelewa.
Kwahiyo mwenzangu hana muda wakuniandalia Chai labda kama angekuwa mama wanyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akishapata morning glory inatosha. Chai ni mbwembwe tuNdo maisha ya kisasa wenyewe mnaita
Japo kwa upande mwingine shida aweza kuwa nayo huyo mwanaume(mume wa mtu)
Wooow'..!!Nadhani inategemea na mfumo mzima wa maisha....
Mfano kwa upande wangu. Huwa naamka asubuhi najitemgenezea chai mwenyewe na mara nyingi mimi ndiye naanda chai maana nawahi kuamka.
AsanteeMtu akishapata morning glory inatosha. Chai ni mbwembwe tu
Yes dear na mazoea.Absolutely dear Lenie..!
Watu wa hivyo ni wengi pia, nadhani inatokana na mtindo wa maisha waliokuzwa nao.!
Ni sawa Myahudi, ila hujaona wanaume wengi wamesapoti wake zao kuwa wapo sahihi kwa kutokufanya hivyo.!?Ni wajibu wa mama/mke kuhakikisha mumewe anapata chochote asubuhi, hao wanaume hawalagi hata siku nzima, ukimuuliza umekula atakudanganya tu
Kwakwel adi mie nmetamani nimpate wa hivyo[emoji16]Hongera mkuu..!!
Na ninyi ndiyo wanaume tunaomba kila siku tupate wa aina yenu.![emoji28]
KaribuAsantee