Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Shukrani sana mkuu.!
Point noted verily.!!
 
It's very true,
Nadhani kila mmoja anatamani kuishi hivyo ila mbio za maisha ndiyo zinatushinda uwezo..!!
I'm happy that at some points siyo makosa yetu wanawake.!
 
Haha.!
Hongera sana mkuu.!
Kumbe kuna namna huwa tunawateka na mnatekeka hasa!!
 
Kama mke anapika makachakacha lazima wote mtimke Kama mandege John muwai majalalani(migahawani)

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Hahahaa..!!
Makachakacha ndiyo nini mkuu.?
 
Kama mke lazima asubuhi niandae kifungua kinywa kwa mume kabla hajaenda kazini.
Kutokana na mazingira yetu ya foleni kutompa nafasi ya kupata kifungua kinywa kwa utulivu , najiongeza kwa kununua flask ndogo na container ambayo naweza muwekea akale ofisini.
It's a good gesture na kumuonyesha kuwa unamjali afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kidume kabla ya kuoa nilikuwa najitengenezea chai mwenyewe alafu eti nimeoa nitegemee mke au nigombane nae kisa hajaamka kunitengenezea chai... Hilo kwangu wa sio ishu

Ishu kwangu mie aninyime papuchi tuu. Hapo ndio ajihesabie hana chake.
we huna tofauti na mie kimtazamo kabisaaaaa.......hapo kwenye papuchi akiibana namsepesha mchana kweupeeee
 
Lakini pia kuna watu hawawezi kula asbh sana, labda kuanzia mida ya sa 2 au 3 na mda huo mtu anakua ofisin so obvious hawezi kunywa chai home

Hii ni kweli, mimi personaly siwezi kunywa wala kula asubuhi, Alfajiri chai inapikwa ya wote ikiwa ni pamoja na watoto wanoenda shule, ila mimi naipita kama sijaiona, so ni utaratibu tu wa nyumba husika na mhitaji mwenyewe!
 
Ndiyo dunia inabadilika, na mpaka hapa tumefika kuna namna tayari tumeanza kunyooka hasa..!

Wakati mwingine neno la faraja unaloweza kupewa ni 'huwezi', Na hii sasa ndiyo itakupa ari na uchu wa kulifikia lengo lako.!! Kuambiwa kila siku 'unaweza' itakupa uzembe na kujikweza..!!

We're still living broh, and the best is yet to come.! Let's hope for the best but more importantly we gotta also prepare for the worst..!!
 
hakika yatupasa kua makini. Malezi ya hovyo hovyo hupelekea kua na jamii yenye watu wa hovyo hovyo. Mungu atufanyie wepesi.
Amina mkuu,
Jamii ya sasa na ijayo, Mungu tu asimame mwenyewe, maana peke yetu tumeshashindwa kiukweli.!!
 
Hahaha..!
Nachowapendea ninyi ni kuwa, mkipata morning glory mnaridhika kama vile mmepata yote.!!
Wanaume na kidude jamani, kuna siri gani eti.?
 
Hahahaa..!!
Makachakacha ndiyo nini mkuu.?
Hahahahah inaonekana wewe binti si wakienyeji hufahamu makachakacha serious!!,hivi ni aina ya vyakula visivyo eleweka mapishi yake mfano mtu anapika tambi na maharage Apo tayari ni makachakacha,yai linakangwa dry hata kitunguu halina Apo ni makachakacha

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…