Naomba kuelimishwa kidogo juu ya hili

Ah wapi nyie ndio mna ugumu kwenye maisha.. Maana ukikosa chura tuu imekula kwako hahaha
Me nikajua ukikosa pesa, kumbe chura.! Mbona we're churaless na maisha bado ni muswano.!
 
Baada ya kupitia hili bandiko imenibidi niangalie avatar yako ,nianze kufikirika,ni picha yako au ya kudownload?!! Mimi nishajizoelea kuamka Na kusonga mbele kumtafuta mshiko,sasa unanibadili fikra,sijui nianze kumkurupua bibie asubui aniandalie kifungua kinywa? Ila viumbe kama nyie vinazidi kupotea,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado najiuliza kwanini wanaume wote mnaojiweza tayari mmekwishawahiwa?
Ndiyo sasa naelewa kwanini waume za watu wanapendwa, kumbe sababu ni wanayajua majukumu yao.!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm nimekopy tu hiyo sentesi yako ya mwisho ,maisha yenyewe yako speed Sana haya, kuna vitu vingine sio lazima kufanyika ili kupunguza ugumu Wa maisha,

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha.!
Ahsante Mr. Sayoo nimekuelewa.!!
 
Hahaha..!
Nimewaza kuwa wa kisasa kama wale kuku.?? Hapana mkuu, mimi ni wa kienyeji hata kwa nguvu.!!

Shukrani mkuu, hapo sasa nimekuelewa, we can talk the same language kuanzia hapo.!
 
Haha,
Don't get twisted mkuu siyo ya ku download tu, bali ni muigizaji wa bongo movie kabisaaa.!!
Hapana mkuu, endelea na mtindo wa maisha yako ule ule, cha muhimu upendo na amani viwepo kwa ndoa yako.!!
 
Ndo maisha ya kisasa wenyewe mnaita

Japo kwa upande mwingine shida aweza kuwa nayo huyo mwanaume(mume wa mtu)
@carleen watu tunatofautiana sana katika maisha.
Mimi binafsi hata uniandalie b. Fast nzuri kiasi gani kabla ya saa 3 asubuhi na kuendelea siwezi kutia kitu kinywani, nitaonja tu na kuonfoka.
Huwa najisikia kuweka chochote kinywani kuanzia saa 3.
Hivyo watu tunatofautiana sana kama alivyosema @Noelia
Experience kwa upande wako ipoje Noelia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wooow'..!!
Wanawake wa hivii Mungu azidi kuwabariki kiukweli, how is he blessed to have you.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…