Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 Jan 10, 2022 #1 Naomba tu ufafanuzi kwamba 1). Rais akimuapisha Makamu wa Rais Au 2.). Rais akishuhudia kuapishwa kwa Makamu wa Rais!?
Naomba tu ufafanuzi kwamba 1). Rais akimuapisha Makamu wa Rais Au 2.). Rais akishuhudia kuapishwa kwa Makamu wa Rais!?
Hakainde JF-Expert Member Joined Jul 30, 2020 Posts 2,401 Reaction score 2,872 Jan 10, 2022 #2 Huwezi kupata msaada kama unaandika kwa mkato kiasi hiki. Yaani hueleweki
Ndalilo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2013 Posts 3,343 Reaction score 7,516 Jan 10, 2022 #3 Mgombea mwenza. Jaji mkuu anaapisha viongozi wakuu wa serikali.
MKAKA HALISI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 631 Reaction score 1,263 Jan 10, 2022 #4 Josh J said: Naomba tu ufafanuzi kwamba 1). Rais akimuapisha Makamu wa Rais Au 2.). Rais akishuhudia kuapishwa kwa Makamu wa Rais!??? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Anakuwa ameshuhudia akipata kiapo
Josh J said: Naomba tu ufafanuzi kwamba 1). Rais akimuapisha Makamu wa Rais Au 2.). Rais akishuhudia kuapishwa kwa Makamu wa Rais!??? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Anakuwa ameshuhudia akipata kiapo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 10, 2022 #5 Ngoja waje kukupa muongozo...