Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Ndio maana ake,kila kitu kinakuwa kimeisha,NDABANINGI SITHOLE usemayo yanaakisi ukweli, hisia zangu zinanituma mtu akisha kupendekenzwa na Deep State kuwa mgombea urais huyo ndiye huwa ni mshindi hata sanduku la kura lisemeje.
Freed Freed asante kwa mwangaza kidogo ulionipa, ila bado nina maswali, hili kundi hili lisilo rasmi je halina kiongozi/ uongozi wake?Hili ni kundi la watu lisilo Rasmi lenye kuweza kubadili mwelekeo wa serikali kwa ushawishi wao wa uonekanao na usionekana. Wanaweza kuwa ktk raia wa kawaida, jeshini, Usalama, Polisi, wanaharakati, wafanyabiashara, wazee, ndugu zake au rafiki zake Rais nk. Hawa hawana njia Rasmi ya kufanya kazi Wala bajeti. Wakati mwingine ni hatari hata kwa serikali inategemea nyakti na mwelekeo.
Aaaaa sawa, kwa hiyo Deep State inakuwa inaundwa na wakuu pekee wa chama cha akina Bashiru au hata wastaafu wa taasisi nyingine pia au?Wakuu wale kwenye kile cham cha kina bashiru
Hapana hao ndio wenye mamlaka ya nani awe nani chama chenyewe si ni sisiyemu ndio ao deepstateeAaaaa sawa, kwa hiyo Deep State inakuwa inaundwa na wakuu pekee wa chama cha akina Bashiru au hata wastaafu wa taasisi nyingine pia au?