Naomba kuelimishwa kuhusu "Holding Company" na "Subsidiary company"

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
1. Holding company ina faida gani ukilinganisha na kampuni za kawaida?

2. Je subsidiary company inaweza milikiwa 100% na holding company moja?

3. Kama holding company ina kampuni 10 je kila kampuni ita file annual returns kivyake au annual return itafanywa na holding company pekee?

Naomba ufafanuzi.

Cc BRELA Nyumbalao daydreamerTZ
 
1.Faida ni kwamba ina CONTROL SUBSIDIARY COMPANY kwenye kila kitu na kuzuia OUTSIDERS (soma SECTION 487)
2.Ndio inawezakana ila kama hiyo HOLDING COMPANY ni STATUTORY COMPANY (soma SECTION 466)
3. Kila SUBSIDIARY inapaswa kuwasilisha (file) SEPARATE ANNUAL RETURN ila FINANCIAL STATEMENT ni DEPENDENT.
 
Kwanza nashukuru sana kwa majibu yako. Yameniongezea ujuzi.

Pili nashauri mfungue special thread ambayo mtaruhusu watu wawaulize maswali kama jinsi Tanesco wamefanya. Itanufaisha wengi.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile a

Kwanza nashukuru sana kwa majibu yako. Yameniongezea ujuzi.

Pili nashauri mfungue special thread ambayo mtaruhusu watu wawaulize maswali kama jinsi Tanesco wamefanya. Itanufaisha wengi.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tunafurahi kukuhudumia, maoni yako tumeyapokea kwaajili ya kuboresha huduma zetu.
 
Habari,mfano nina busness name,representative aliyefunguaga hayupo.
Nafanyaje niweze kuwa representative na kubadili vitu??
 
1.Faida ni kwamba ina CONTROL SUBSIDIARY COMPANY kwenye kila kitu na kuzuia OUTSIDERS (soma SECTION 487)
2.Ndio inawezakana ila kama hiyo HOLDING COMPANY ni STATUTORY COMPANY (soma SECTION 466)
3. Kila SUBSIDIARY inapaswa kuwasilisha (file) SEPARATE ANNUAL RETURN ila FINANCIAL STATEMENT ni DEPENDENT.
Hapa naona section 466, section 487 hizi nazitoa wapi?
 
Habari,mfano nina busness name,representative aliyefunguaga hayupo.
Nafanyaje niweze kuwa representative na kubadili vitu??
Habari, unatakiwa kutengeneza akaunti yako ya BRELA ORS kisha andika barua ya maombi kuja BRELA kwaajili ya kuomba akaunti yako kuwezeshwa (access) kwaajili ya kufanya maombi ambayo unahitaji katika mfumo wetu.
 
Back
Top Bottom