Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwanza nashukuru sana kwa majibu yako. Yameniongezea ujuzi.1.Faida ni kwamba ina CONTROL SUBSIDIARY COMPANY kwenye kila kitu na kuzuia OUTSIDERS (soma SECTION 487)
2.Ndio inawezakana ila kama hiyo HOLDING COMPANY ni STATUTORY COMPANY (soma SECTION 466)
3. Kila SUBSIDIARY inapaswa kuwasilisha (file) SEPARATE ANNUAL RETURN ila FINANCIAL STATEMENT ni DEPENDENT.
Kwanza nashukuru sana kwa majibu yako. Yameniongezea ujuzi.
Pili nashauri mfungue special thread ambayo mtaruhusu watu wawaulize maswali kama jinsi Tanesco wamefanya. Itanufaisha wengi.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile a
Tunafurahi kukuhudumia, maoni yako tumeyapokea kwaajili ya kuboresha huduma zetu.Kwanza nashukuru sana kwa majibu yako. Yameniongezea ujuzi.
Pili nashauri mfungue special thread ambayo mtaruhusu watu wawaulize maswali kama jinsi Tanesco wamefanya. Itanufaisha wengi.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Habari,mfano nina busness name,representative aliyefunguaga hayupo.Tunafurahi kukuhudumia, maoni yako tumeyapokea kwaajili ya kuboresha huduma zetu.
Hapa naona section 466, section 487 hizi nazitoa wapi?1.Faida ni kwamba ina CONTROL SUBSIDIARY COMPANY kwenye kila kitu na kuzuia OUTSIDERS (soma SECTION 487)
2.Ndio inawezakana ila kama hiyo HOLDING COMPANY ni STATUTORY COMPANY (soma SECTION 466)
3. Kila SUBSIDIARY inapaswa kuwasilisha (file) SEPARATE ANNUAL RETURN ila FINANCIAL STATEMENT ni DEPENDENT.
Nadhani ungekuwa serious kidogo
Habari, unatakiwa kutengeneza akaunti yako ya BRELA ORS kisha andika barua ya maombi kuja BRELA kwaajili ya kuomba akaunti yako kuwezeshwa (access) kwaajili ya kufanya maombi ambayo unahitaji katika mfumo wetu.Habari,mfano nina busness name,representative aliyefunguaga hayupo.
Nafanyaje niweze kuwa representative na kubadili vitu??
Companies Act, Cap 212Hapa naona section 466, section 487 hizi nazitoa wapi?