Naomba kuelimishwa kuhusu: Inspite vs Despite

Citizen B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
6,681
Reaction score
9,084
Wasalaam,

Wataalam wa Ligha nawahitaji hapa!

Kwa Kiswahili sijui ndo Ingawa, Pamoja na, Hata kama,Ijapokuwa. Je, ipi ni ipi?

Yaani hizo Inspite na Despite zina maana gani kwa Kiswahili na ipi tofauti yake katika maana ndani ya Sentensi?

Yaani ipi inatumika na kwa wakati gani?
 
ni maneno yanayokaribiana kimaana na although au even though
ukitaka kuamini hilo hebu tafuta utofauti ktk sentesi hizi
he got the job inspite of his criminal records
he got the job despite the criminal records he had.

tuje kwenye kiswahili chetu

japokuwa
ingawa
ingawaje
nipatie tofauti zake kimaana
kibla matata
 
Wasalaam, Wataalam wa lugha nawahitaji hapa!!
Kwa Kiswahili sijui ndo Ingawa, pamoja na,hata kama, ijapokuwa n.k
Ipi ni ipi?? Yaani hizo inspte na despite zina maana gani kwa Kiswahili na ipi tofauti yake katika maana ndani ya sentensi?
Yaani ipi inatumika wakati gani?
Si kila neno la kiingereza lina tafsiri ya moja kwa moja kwa kiswahili,
Kwa matumizi zote zina matumizi yanayofanana.
 
ni maneno yanayokaribiana kimaana na although au even though
ukitaka kuamini hilo hebu tafuta utofauti ktk sentesi hizi
he got the job inspite of his criminal records
he got the job despite the criminal records he had.

tuje kwenye kiswahili chetu

japokuwa
ingawa
ingawaje
nipatie tofauti zake kimaana
kibla matata
1.alipata kazi ikiwa
2.alipata kazi japo
....kithungu kigumuu thaaana...
 
Sentensi ndizo zimejibu swali hilo
ni maneno yanayokaribiana kimaana na although au even though
ukitaka kuamini hilo hebu tafuta utofauti ktk sentesi hizi
he got the job inspite of his criminal records
he got the job despite the criminal records he had.

tuje kwenye kiswahili chetu

japokuwa
ingawa
ingawaje
nipatie tofauti zake kimaana
kibla matata
 
In spite=despite=although.
Ni maneno yanaweza kutumika katikati ya sentensi au hata mwanzoni mwa sentensi(preposition).

Kwa mfano;
Musa won the race. Musa did not train at all.

Inspite of the fact that musa did not train at all, he won the race.
Au
Musa won the race in spite of the fact that he did not train at all.

Despite the fact musa did not train at all, he won the race.
Au
Musa won the race despite the fact that he did not train at all.

Although musa won the race, he did not train at all.
Musa won the race although he did not train at all.

Hizo tatu(although, in spite na despite) zinajulikana kama preposition zinatumika kwenye sentensi ambazo kitu kinatokea bila kutegemea.

Ukiwa unaanza kujifunza, anza na although maana ndo nyepesi kwenye matumizi.
 
ishu ni kuzitofautisha ipi inatumika vipi?

..................................
 
Back
Top Bottom