Pinda Nhenagula
Member
- Jan 26, 2019
- 87
- 113
Nashukuru sana lakin sasa yy ndo amesha nunua karasha na generator na pia anataka aniweke nisimamieMwambie mzee akupeleke kujifunza kwa wenye karasha wengine ukaone inavofaya kazi hata miez 2 .hiyo sio maalifa lele mama kama kutengeneza juisi ya embe kama anataka ufanikiwe kweli kwa umri wako mdogo alitakiwa uanzie darasana ukasome hatacorse pale kunduchi .upate ABC hata ya walau yabtechnics for gold identification and valuation.kisha usome gold processing .Kisha upelekwe mgodi unaofanya kazi kuanzia uchimbaji hata ufanye miez 2 .hapo utafanikiwa .ila hapa utapotezewa muda huwezi jua siri za madini mtandaoni
Mwambie mzee akupeleke kujifunza kwa wenye karasha wengine ukaone inavofaya kazi hata miez 2. Hiyo sio maalifa lele mama kama kutengeneza juisi ya embe kama anataka ufanikiwe kweli kwa umri wako mdogo alitakiwa uanzie darasana ukasome hata course pale Kunduchi upate ABC hata ya walau yabtechnics for gold identification and valuation, kisha usome gold processing kisha upelekwe mgodi unaofanya kazi kuanzia uchimbaji hata ufanye miez 2. Hapo utafanikiwa .ila hapa utapotezewa muda huwezi jua siri za madini mtandaoni.