Naomba kuelimishwa kuhusu matofali

Naomba kuelimishwa kuhusu matofali

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Nasikia kuna matofali mazito mara kuna matofali ya kawaida!

Je tofauti zao huwa ipi?

Je yanatengenezwa kwa kutumia nini?

Je matofali mazito yana ratio gani? Na mepesi je?

Je yanatakiwa yawe na compressive strength kiasi gani?

Naomba kiwasilisha.
 
[QUO

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Tofali hutofautishwa kwa njia zifuatazo​
1.Aina ya material yaliyotumika kuiunda mfano kuna tofali zinatengenezwa kwa​
  • Maji, Simenti na Mchanga​
  • Maji, Sementi na Vumbi la miamba uiliyosagwa kwa wakati wa kuzalisha kokoto​
  • Maji, Sementi na Chenga za kokoto.​
  • Maji na Udongo Mfinyanzi baadae inachomwa hapa unapata tofali za kuchoma.​
Kiujumla material yapo mengi na wanasayansi/watafiti kila Leo wanaendelea kutafiti material mengine kulingana na teknolojia inavyobadilika na kukua.​

2. Njia nyingine ya kutofautisha ni compression strength ambayo mara nyingi inaanzia 0Mpa mpaka 14Mpa hii hufanyika maabara unafyatua tofali kwa material niliyojaribu kuelezea hapo juu.​

Mfano kwa mfuko mmoja wa Sementi umetoa blocks 25 mwingine akaamua kutoa blocks 40 ukipima hizi tofali zitatofautiana strength.​
 
Mkuu una connection na kazi za vibarua ujenzi?
 
GKado,
Shukrani kwa jibu!

Kuna tofauti gani kati ya tofali za chenga ya kokoto na za mchanga?

Je maximum strength kwa tofali la ratio ya 1 kwa 3 ni ngapi?
 
Back
Top Bottom