Money maker pump ,hutumika kusukuma maji kutoka point A}kwenda Point B ,mfano waweza kuwa na shamba ambapo pembezoni kuna mto wenye maji umekatisha hapa ndo unaweza kutumia moner maker kusukuma maji kutoka mtoni Hadi shambani, na hii hutegeme umbali kutoka mtoni na lilipo shamba, Na kama pump itakwenda umbali mrefu kutoka yalipo maji, pump haitaweza kusukuma.
Kumbuka kuwa Money maker haitumiki katika visima vya kuchimba au kama hizo pump unazosema za laki tatu . Money maker ni kwa shughuli umwagiliaji tu.