nundaz
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 272
- 193
heshima wadau. Hivi mtu unaweza kubadilisha damu yote mwilini? Kuna watu nasikia huwa wanakwenda kubadilisha damu nairobi na nchi za nje. Kwa wataalamu naomba kuelimishwa hii process nzima inafanyikaje? Je inazuia baadhi ya magonjwa kuendelea kubaki ndani ya mwili?