Naomba kuelimishwa kuhusu mtu kubadilisha damu

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
heshima wadau. Hivi mtu unaweza kubadilisha damu yote mwilini? Kuna watu nasikia huwa wanakwenda kubadilisha damu nairobi na nchi za nje. Kwa wataalamu naomba kuelimishwa hii process nzima inafanyikaje? Je inazuia baadhi ya magonjwa kuendelea kubaki ndani ya mwili?
 
mkuu sio mimi, am just curious tu how people change blood! nipe elimu mkuu kama unajua kitu kuhusu hii kitu!
 
Wenye kubadilishwa damu
ni watu wenye leukemia, leukaemia ni cancer ya blood cells.

Mungu atuepushe na maradhi hayo. Ameen. 🐫🐪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…