kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakuu, habari za wakati huu?
Naomba kupewa dondoo kuhusu suala la pete ya uchumba.
1. Pete ya uchumba ni lazima mvalishane hata kama tayari mnaishi wote?
2. Pete ya uchumba lazima umvalishe mwenzio mbele za watu au unaweza ukamfanyia tu suprise mkiwa wawili hata chumbani ukamvalisha?
3. Pete ya uchumba lazima iwe ya gharama maana kuna jamaa yangu kaniambia niandae one million?
4. Ni lazima kupiga magoti wakati wa kumvalisha mchumba ako pete?
Asanteni