kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kupiga goti ni tendo la ishara sio fasheni au lazima.Wakuu, habari za wakati huu?
Naomba kupewa dondoo kuhusu suala la pete ya uchumba.
1. Pete ya uchumba ni lazima mvalishane hata kama tayari mnaishi wote?
2. Pete ya uchumba lazima umvalishe mwenzio mbele za watu au unaweza ukamfanyia tu suprise mkiwa wawili hata chumbani ukamvalisha?
3. Pete ya uchumba lazima iwe ya gharama maana kuna jamaa yangu kaniambia niandae one million?
4. Ni lazima kupiga magoti wakati wa kumvalisha mchumba ako pete?
Asanteni
Unafiki tu kuiga ulaya. Wenzao huwa wanalia sababu kwanza ni suprise halafu pia ni tendo la kushitukizwa.....Kitu kingine inakuaje mwanamke akivalishwa pete anaanza kulia wakat unakuta amejipanga tayar kwa tukio
Sasa kibongo bongo unakuta anashirikishwa kununua hiyo pete ya uchumba na wanapanga pamoja siku ya tukio lakin ikifika siku yenyew anaanza kulia[emoji23]Unafiki tu kuiga ulaya. Wenzao huwa wanalia sababu kwanza ni suprise halafu pia ni tendo la kushitukizwa.....
Je kama bikra umemtoa mwenyeweKupiga goti ni tendo la ishara sio fasheni au lazima.
Miaka ya falme za uingereza kabla gari haijagunduliwa wanaume (prince charm) walikuwa wanawaomba mabinti wanaowatongoza tena mabinti bikra kwa kuwapigia goti ili kuomba ridhaa na heshima ya kuwa wanaume wao.
Hapo ndipo utamaduni wa kwenda down on one bended knee ulipoanzia. Sasa miaka hii tumerithi tu ila kumpigia goti mwanamke ambaye hana bikra ni kujidhalilisha kwa mtoto wa kiume. Unaomba mtu aliyelala na wanaume tofuti akupe ridhaa na wewe utembee nae na wakati wenzako walinunulia chips kuku tu wakala mzigo.
Na ndio maana kwa afrika wanawake hupiga goti kushukuru kwa kupata fadhira ya kusitiriwa na mwanaume aliyemchagua.
Ila kama mwanamke ni bikra piga goti bila ubishi...... Sio ombi ni lazima, she's a princess, raised by a king and queen for you... So bow to your future queen.
Mwanamke mwenye bikra huwa ni alama ya utukufu wa MUNGU duniani...... Sasa wewe ni nani hadi usimpigie goti mwali aliyehifadhi tupu yake hadi kukutana na wewe.
Maana ileile kwamba ulimkuta bikra...Je kama bikra umemtoa mwenyewe
AhaaaMaana ileile kwamba ulimkuta bikra...
Na nguo tumeshona sare😂Sasa kibongo bongo unakuta anashirikishwa kununua hiyo pete ya uchumba na wanapanga pamoja siku ya tukio lakin ikifika siku yenyew anaanza kulia[emoji23]
Yupo mmoja alinialika kabisa nikangaa siku ya tukio analia mpaka anabembelezwa [emoji23][emoji23][emoji23]Na nguo tumeshona sare[emoji23]
Wakuu, habari za wakati huu?
Naomba kupewa dondoo kuhusu suala la pete ya uchumba.
1. Pete ya uchumba ni lazima mvalishane hata kama tayari mnaishi wote?
2. Pete ya uchumba lazima umvalishe mwenzio mbele za watu au unaweza ukamfanyia tu suprise mkiwa wawili hata chumbani ukamvalisha?
3. Pete ya uchumba lazima iwe ya gharama maana kuna jamaa yangu kaniambia niandae one million?
4. Ni lazima kupiga magoti wakati wa kumvalisha mchumba ako pete?
Asanteni