Naomba kuelimishwa kuhusu Subaru Impreza cc 1490

1. Fuel consumption: Mjini tegemea 9km/L na highway 13km/L

2. Spea sio tatizo. Zipo nyingi tu mjini.

3. Ipo chini kidogo, so barabara yenye makorongo sana itakua sio vizuri kuipeleka. Ila kama tu ni barabara ya vumbi safi, inahimili.

Ushauri:
Kama utakua unaenda nayo maporini sana sio vizuri ila kama misele yako mingi rami na soft vumbi, nunua. Ingawa bei yake sio range za IST.
 
1. Fuel consumption: Mjini tegemea 9km/L na highway 13km/L

2. Spea sio tatizo. Zipo nyingi tu mjini...
Asante!! ila nilivoona cc 1490, nikajua fuel consumption ni level za RAUM.
 
naomba kuelimishwa kuhusu ukubwa wa engine na utumiaji wa mafuta,....maana nilivoona subaru ina cc 1490 na Raum ina cc1490 nikajua FUEL consumption ni sawa .
 
Subaru ya cc1500 inakula mafuta kuliko toyota nyingi za cc1500,angalia kipato kwa umakini mkuu,nadhani sababu ni AWD i.e

all weather drive ni mfumo wa kusukuma tairi zote nne muda wote,huu mfumo nahisi ndio chanzo cha ulaji wa mafuta,otherwise ni gari nzuri.
 
All-wheel Drive
 
Mafuta si mbaya sana. Ipo stable sana, ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005.

Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa. Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi
 
Mafuta si mbaya sana
Ipo stable sana,ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005
Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa
Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi

Shukrani sana
 
Mafuta si mbaya sana
Ipo stable sana,ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005
Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa
Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi

Mafuta 1lt ni km ngapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…