Miguu chumvi ipoje mkuu...naomba kufahamuMafuta si mbaya sana
Ipo stable sana,ina piga shimo balaa,nimeitumia sana toleo la 2005
Shida yake siti ya dereva ipo down na inaumiza kiuno balaa
Durable sana kwa watu wenye miguu ya chumvi
Matumizi ya kawaida but not racing...kuna wengine huwa wanafanya drag racing na zile za kuspine magari (doughnuts sijui wanaita)..sasa gari ukiifanyia hvyo tegemea hayo makitu kutokeaKwani mtu unanunua Subaru ili uwe unaifanyia nini?
Uzito wa gari na nguvu ya engine na aina ya engine nafikiri inaweza kuwa factor kwenye matumizi ya mafuta..raumu ukiisimamisha na hyo gari kwenye high way raumu hawez kusogea..ataambulia harufu tu.asante.......ila nilivoona cc 1490,nikajua fuel consumption ni level za RAUM....
First thing should know.. this is a Subaru. Not a Toyota.. This is to alert you kuwa u should be ready to invest hela Kwenye swala la servicing and maintenance in general.
In comparison to cars in its class (Kama ilivyosemwa raum, IST, na compact cars nyingine) its slightly more expensive in general (fuel, maintenance).../QUOTE]
shukrani sana mkuu,
Mkuu katafute vitz ndo inafaa kwa matumizi ya kawaida.Matumizi ya kawaida but not racing...kuna wengine huwa wanafanya drag racing na zile za kuspine magari (doughnuts sijui wanaita)..sasa gari ukiifanyia hvyo tegemea hayo makitu kutokea
Haya bhanaMkuu katafute vitz ndo inafaa kwa matumizi ya kawaida.
1. Fuel consumption: Mjini tegemea 9km/L na highway 13km/L
2. Spea sio tatizo. Zipo nyingi tu mjini.
3. Ipo chini kidogo, so barabara yenye makorongo sana itakua sio vizuri kuipeleka. Ila kama tu ni barabara ya vumbi safi, inahimili....
Gari kuitumia kwenye racing bila kuifanyia perfomance tuning ni waste.gari za racing zina standard zake kuanzia engine,shockups na vipuri vingine,ila kwa mabrazameni wa bongo wanajua kupuliza tu na kusikilizia bundaKwani mtu unanunua Subaru ili uwe unaifanyia nini?
Kwa hio mtu anaweza kununua wrx sti ya kuzururia tu mtaani?Gari kuitumia kwenye racing bila kuifanyia perfomance tuning ni waste.gari za racing zina standard zake kuanzia engine,shockups na vipuri vingine,ila kwa mabrazameni wa bongo wanajua kupuliza tu na kusikilizia bunda
Kwa hio mtu anaweza kununua wrx sti ya kuzururia tu mtaani?
Bro hayo yote uliyonieleza hapa ndio nyumbani.Sio Subaru zote ni STI au za racing. Impreza, forester, outback, legacy nyingi ni standard kuliko hata hizo zenye turbo na racing. You might want to check production data. Kuna fundi mmoja wa Subaru aliwahi kuniambia kuwa watu wengi wasiofahamu wanaziua subaru kwa sababu wanafikiri zote zimetengenezwa kwa ajili ya racing. Gari za racing wanafanya tuning ya vitu vingi, kuanzia engine, ecu, exhaust mpaka suspension. Ila nyingi zilizoko barabarani hazina hizi mods
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro hayo yote uliyonieleza hapa ndio nyumbani.
Haya boss,nasikia tu uvivu kubishana.Basi nadhani maarifa yako umeapply vibaya au labda nimekuelewa vibaya. Ningekuwa najua kuhusu Subaru kama wewe nisingemshauri mtu kuwa anunue aina youote ya Subaru kwa ajili ya Racing au vitu vinavyofanana na hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app