Naomba kuelimishwa kuhusu vidhibiti

Naomba kuelimishwa kuhusu vidhibiti

Kichwa Ndio Mtu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
3,079
Reaction score
1,711
Je ukikamatwa na kizibiti/ushahidi mfano unauza bangi,ukakutwa na gunia 5 au unauza gongo,ukakamatwa na dumu 20 za lita 20.

1. Je ukifikishwa mahakamani kizibiti chako chote kinaletwa mahakamani kama ushahidi,yaani dumu zako 20 zote zinaletwa mahakamani?

2. Kama hazikuletwa zote ikaletwa labda 2,je una haki ya kutaka madumu yako yote yaletwe?

Naomba wataalam wa sheria mnielishe.
 
Back
Top Bottom