KIKOSIKAZI
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 2,219
- 1,146
Ndugu wanasheria na wana JF, habari za wakati huu.
Naomba msaada wa kisheria toka kwenu, Mimi ni mwanaume na nilifunga ndoa ya kikristo miaka kumi (10) iliyopita,tuna watoto wawili. Safari ya ndoa yetu ilikuwa na mapito/magumu mengi.Mpaka muda huu naandika walaka huu, mwanamke aliondoka nyumbani yapata miezi sita sasa. Maamuzi yangu ni kutengana/kutalikiana kisheria kwa kutumia mahakama. Nimepitia sheria ya ndoa na talaka, lakini sijapata ufumbuzi
Naomba ufumbuzi wa maswali yuafuatayo:
1.Je ni lazima nisubiri miaka miwili ya kuto kuwepo kwake ndio niende baraza la usuluhishi la kanisa au ustawi wa jamii?
2.Je ni nini nifanye kwa sasa, ili kuwepo na ushahidi (evidence) wa kutokuwepo kwake? ambayo nitakuja kutumia kama ushahidi huko mbeleni
3. Kifungu cha sheria ya ndoa na Talaka, 8.1.1 kina sema "Kutengana kupo kwa aina mbili;i. Kwa hiari ya wanandoa wenyewe. na ii. Kwa amri ya mahakama. Je hii aina ya kwanza inafanyikaje?
Babuyao,KIBONGOMKUTI,MKALIKENYA, na wengine wengi naombeni msaada wenu