Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

Hivi mtu anaumwa na hali imebadilika na alikuwa anaelekea kufariki harafu unalaumu aliyokuwa anaelekeza,,kweli hunaakili au hujawahi kuuguza mtua anayekaribai kufariki
 
Wewe usiwe kilaza CDF hatoi taarifa kwa makau Bali kwa Rais hivyo inabidi umuuite katibu mkuu kiongozi au waziri mkuu ndo wamuambie bosi wao,,sasa hasta hili hujui..Kilaza kweli
 
nafasi ya umakamu huwa ni nyepesi sana wala huzingatiwi, ukijumlisha jinsia yake pia iliweka hisia tofauti na imani kuwa ndogo kwa huyo mhusika
 
Wewe usiwe kilaza CDF hatoi taarifa kwa makau Bali kwa Rais hivyo inabidi umuuite katibu mkuu kiongozi au waziri mkuu ndo wamuambie bosi wao,,sasa hasta hili hujui..Kilaza kweli
Kwa akili yako ndogo unataka kusema kuwa waziri mkuu ndiko mahali CDF alikokuwa anaripoti taarifa baada ya Rais kuwa mgonjwa mahututi mpaka anafariki?embu ficha ujinga wako huo
 
Hivi mtu anaumwa na hali imebadilika na alikuwa anaelekea kufariki harafu unalaumu aliyokuwa anaelekeza,,kweli hunaakili au hujawahi kuuguza mtua anayekaribai kufariki
Mgonjwa akuelekeze wewe mtu mzima? Mgonjwa mwenyewe ni Rais unadhani Rais ni Mali ya familia?
 
Huyo anawezi kipi hadi apatite taarifa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Umeambiwa hata mke wake hakuwepo hapo kwani samiia ni nani mpaka awe akribu na mgonjwa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Unamchukia magufuli kisa dini yake nakujua sana wewe mwanamke
 
Uwe mara ngapi mama samia? Wewe demu ni mpuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…