Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

bahati mbaya sio yeye anayeamua amtoe nani amuweke nani tulia
 
Ukweli nyuma ya kifo cha magufuli ni asilimia 50 tu mengine mnadanganywa mabeyo katumika kisiasa kutoa taharifa za uongo ulio chsnganywa na ukweli kwa sababu za uchaguzi.....tumieni akili kidogo tu vipi JPM ajue anakufa asiwaite viongozi wakuu kama waziri mkuu na makamu wa rais...pia samia alisikika akiojiwa na vyombo vya kimstaifa na kusema jpm alikufa kwa korona ...swali je mtu anaye kufa kwa korona aliwezaje kujua kuwa haponi korona na je alitaka asafilishwe kwenda chato na korona.
 
Mfumo dume umewatawala!
 
Hakupewa umuhimu kwenye hilo jambo kwa sababu ya jinsia yake walihofia na kusita itakuweje huyu ashike hiyo nafasi na kingine walipoona katiba ilivyo wakagundua ni mbovu ila shart isimamiwe na kuheshimiwa wakawa hawana namna na ndo maana waliokuwa karibu ni hao viongozi wa usalama makam wa rais ilitakiwa atolewe hiyo nafasi apewe mwanaume ila wa kumtoa alikuwa marehem tayari kukawa hakuna namna ikabidi aitwe toka Tanga kuja kurithi nafasi hiyo japo mvutano ulikuwepo before

Alipokuwa makamu wa rais hukuwahi kumsifia kama sasa hivi kawa rais kujipendekeza kwa kumsifia kumekuwa kwingi ndo ujue ni kwa namna gani ulivyo mnafiki kwa sasa.

Sijui leo hii ungekuwa unamsifia nani na bahati mbaya ndo hivyo ccm wote hawana habari na wewe pamoja na kuweka number NO TEUZI KWAKO.
 
Mimo sipo hapa jukwaani kutafuta uteuzi ndugu yangu. Lakini pia uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu .na siyo kujiropokea tu kama mlevi wa gongo
 
Mimo sipo hapa jukwaani kutafuta uteuzi ndugu yangu. Lakini pia uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu .na siyo kujiropokea tu kama mlevi wa gongo

Wewe ndo huna adabu wala heshima ndo maana kawakataa machawa wote kwa kusema yeye hana makundi ila nyie sifia sifia mnajulikana kuwa hamuwezi kumwambia ukweli rais zaidi ya kumvimbisha kichwa kuwa anaupiga mwingi wakati hata yeye anaona na kujua kuwa uongozi hauwezi ye bora liende na nyie mkumbukwe kwenye teuzi.
 
Upuuzi mtupu, swala la afya ya Rais ni swala la ulinzi na usalama, angeitwa awepo karibu kwamba walijua angekufa? mke wake mwenyewe hakuwepo pembeni ya kitanda nini makamu wa Rais?
Huyu chawa anahoji mambo ambayo kimsingi yapo nje ya uwezo wa kawaida wa binadam, hakuna aliejua kuwa atakufa lini na saa ngapi.
 
Unachuki kama mnagombea dem
 
Inaonesha ukabila ulivyotamalaki awamu ya 5. Wakabila la rais ndio walikuwa naye mpaka dakika za mwisho. Inaonesha kupishana kimtazamo, kimaamuzi na kiutendaji kati ya rais na makamu wake, kiasi kwamba isingekuwa rahisi kumwita makamu awepo pembeni ya kitanda cha mauti cha rais kama alivyokuwepo mkuu wa majeshi. Nafikiri hata mkuu wa majeshi kawa karibu na makamu kwa vile hakukuwa na jinsi.
 
Inakusaodia nini chawa wewe, fuata mbo yako mambo ya nchi yako juu ya uwezo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…