Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

Wabongo bana,so mlitaka samia awepo karibu ili mseme alimuua….Ni bora hata hakuwepo maana hamkawii kusema alimuua ili apatae urais.
 
Namba ya simu tafadhalii. Kuna kamkeka kadogo kanatoka hivi karibuni
 
Tunaomba mtutajie majina ya hilo genge ovu ambalo halikumtaka kabisa Makamu wa Rais aongeze nchi. Tuanzie hapo na tujue kwa sasa wako wapi kiuongozi chamani na kiserikali. Ni muhimu wajulikane kinagaubaga.
 
Magu akamwambia CDF wape amri hao madaktari wanirudishe nikafie chato.The voice of a strong leader.
Alikuwa kiongozi mzalendo mno. Hakutaka nchi iingie katika gharama kubwa za Msiba wake ndiyo mama alitaka asafidishwe na vufaa vya kitabibu vya kushikulia upumuaji ili akifika Chato waviondoe. Hatutakaa tumpate kiongozi kama huyu milele. Narudia hatakuwepo tena.
 
Tunaomba mtutajie majina ya hilo genge ovu ambalo halikumtaka kabisa Makamu wa Rais aongeze nchi. Tuanzie hapo na tujue kwa sasa wako wapi kiuongozi chamani na kiserikali. Ni muhimu wajulikane kinagaubaga.
Ni sahihi kabisi
 
Hili ni funzo kubwa sn juu ya teuzi zetu
 
Ww mshamba kweli umelalamika kwa udhaifu wote ulio one kama toka mwanzoni Rais anaangaliwa na watu watatu hata mke hajui,mke anambulia maiti mwishoni unasifu Sijui kama ndio kujielewa huko na Eti ni uzalendo Sijui,kweli ni niinimacho vya mleta mada.
 
Huna akili na jinga sana wewe .mke wa Rais anahusika nini kikatiba katika uongozi wa Taifa letu. Jipige kifua useme wewe ni jinga sana.
 
Kwa sababu Magufuki hakutaka.

Angetaka angesema "Nireteeni Samiaaa" angeleteea mapema tu.

Kama alivyosema "Nireteeeni Gwajimaa".

Akaletewa Gwajimaa mpaka bungeni.

View: https://youtu.be/eN6O2xE8yis?si=8IZ0d1v_pXu1XESi
 
Habari ya kua wakwanza kujua nani amefariki nimpango wa Mungu. Waliokuepo karibu na mgonjwa ndio watakua wamwanzo kujua. Pia elewa kwamba makamu wa Rais sio miongoni mwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Kwa Cheo chake anakuaje sio miongoni Mwao na wakati wanajua yeye ndio anapokea Kijiti baada ya Rais aliyekuwepo kufa?
 
Sasa kama Mama amekufikia kujua taarifa za kifo cha mzee za nini.Baki na mama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…