Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

Fala wewe
 
Haikuwekwa picha yake public
 
Jiulize pia kwanini tangu atangaze kifo hicho akiwa Tanga hajawahi kupanga kufanya ziara rasmi hapo zaidi ya ile anayokusudia hivi karibuni kwa shughuli maalum?

Wakazi wa Tanga wana hasira kubwa sana naye maana tangu aondoke mwamba JPM na kile walichokishuhudia akiwafanyia lakini ndoto ikakatishwa ghaflawamekata tamaa katika huduma zifuatazo
1. Afya
2. Miundo mbinu ya barabara
3. Biashara kudorora
4. Usafiri wa treni ya abiria wamenyimwa
5. Mazingira na makazi yasiyo na hadhi kwa kukosa nguvu za kiuchumi
6. Uwekezaji usionufaisha jamii inayozunguka miradi
 
Naona unaandika ukiwa umelewa pombe hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…