Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

Raisi anapokuwa hajiwezi nk nchi inakuwa chini ya vyombo vya ulinzi na usalama , kabla ya kukabidhiwa anaye husika
Mimi nimeomba kuelimishwa kuwa anayefuatia kimamlaka baada ya Rais ni makamu wa Rais. anayetangaza kifo cha Rais kikitokea ni makamu wa Rais.sasa ni kwanini hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Rais wake? Kwanini walipewa viongozi wengine taarifa mapema ambao ni wadogo kimamlaka na kimadaraka kwa makamu wa Rais?
 
Wanadai anaetakiwa kupewa taarifa namba 1 ni Katibu Mkuu Kiongozi ndio amjulishe Makamu.

Ila Kwa kesi ya Magufuli Bashiru na genge lake hawakutaka VP apewe taarifa na kama angepewa wangekuwa wameandaa Mpango wa kupindua meza.

Inaonekana Bashiru na genge lake walishurutishwa.

Masisitiza ningekuwa Mimi ndio Samia,hakuna rangi wangeacha kuona kuanzia Katelephone na wengine.Kuwatoa kwenye cheo kina Bashiru haitoshi huku wengine Bado hapana.
 
Pia inaonesha cheo Cha Makamu wa Rais ni cheo Cha maigizo kisicho na maana.

Yaani Waziri Mkuu ndio anapata nafasi ya kwanza kabla ya VP? Haikubaliki kina haja ya kubadili sheria au kufuta hiki cheo
 
Kwa hiyo angakatiza ziara ya kikazi aje akae kitandani pembeni kumsubiri afe? Hivi wewe akili yako ina matope ya mavi?
 
Waulize CCM.
 
Pia inaonesha cheo Cha Makamu wa Rais ni cheo Cha maigizo kisicho na maana.

Yaani Waziri Mkuu ndio anapata nafasi ya kwanza kabla ya VP? Haikubaliki kina haja ya kubadili sheria au kufuta hiki cheo
Hata mimi nimeshangaa sana hili jambo yaani waziri mkuu apate taarifa na kuwa mtu wa kwanza kufahamu kifo cha Rais huku makamu wa Rais hajuwi na hana taarifa na anaendelea na ziara?
 
We jamaa sidhani kama uko sawa upstairs au umekurupuka, wapi Hayati aliambiwa hawezi kupona? nenda kasikilize upya na uelewe, kama unasema umesikiliza na kuelewa na kuchambua na huu ndo uchambuzi wako basi unamatatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…